
Mwandishi;maramoja the great Simulizi za john 0789 824 178 1000 Nkasema ww ni kweli akasema ndio alinambia kuwa aludi ana ama nkasema mh akasema ehee sasa utafute mtu wa kumuonea dada na kumsema sema nkabaki kimya nkasema alafu yule mpole sana siku nichokoze mm kama sijakudunda mh peter kaama kwa ajili yangu nn nilijukuta nimeumia nkalud kukaa sikuwa sawa ata alafu nkawa nasema asa namuwaza nn jaman mpka kina ney wakaniuliza ww kwan leo vp mbona umepoa nkasema peter kaama wakasema mh we ndo umeumia ama ww na piter si amuelewani nyny nkasema nimejikuta tu nimeumia wakanambia achana naye basi
0 Comments