BINAMU NAISHIWA PAWA MWENZAKO Note : ina maudhui ya watu wazima soma kwa uangalfu ....... EPISODE 6

BINAMU NAISHIWA PAWA  MWENZAKO  Note : ina maudhui ya watu wazima soma kwa uangalfu .......   EPISODE 6

Tulikuwa tunaendelea kujiuliza tunawezaje kutoka kwenye ule msala ambao tayari tushautengeneza wenyewe mana shangazi karudi wakati mechi ndo kwanza hata half time bado haijafika ni mwendo wa kuharinia vibe. Basi shangazi hakuishia hapo aliniita mpaka jina langu baada ya kuona Juliet hayupo kabisa nikasema ooooh hapa tayari disko kaingia mmasai. Zitapigwa mpaka ngumi.Basi niliendelea kuwaza nini cha kufanya muda huo shangazi anajisemesha tu nje..... Mara " Ngo ngo ngo ngo ngo ngo ngo! ngoh! Ilikiwa ni shangazi anaugonga mlango na kuniita lakini nilivunga kama sijasikia aligonga mlango na kusema" yebo zake hizi hapa ina maanisha yupo humu ndani " nikapiga

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments