
TULIPOISHIA.... ……Qassano aliisoma ile sms hakuijibu wakati anarudisha Macho kwa Abby aligundua anasinzia ,, akamwambia nikupeleke ukapumzike ,, Abby akamwambia nitashukuru Kabla hawajaondoka ndani ya gari ,, Qassano akamgeukia Abby akamwambia naomba nikuombe kitu kingine ,, Abby akamwambia chochote omba ,, aliongea huku anatabasamu qassano nae akajikuta anatabsam Akamwambia kuna sehem naomba kesho unisindikize ,, akamuulza saa ngapii?? Qassano akamwamnia we itakuwa free muda gani?? Abby akasema asubuhi itakuwa poa Ohooo akakumbuka alimuahidi Masha kuwa atakwenda asubuhi ….. ENDELEA..... Akapiga hesabu za haraka harak amkatalie Vicky kisa mashaa?? ,, akajisemea moyoni baada ya kutoka na abby nitakwenda kwa masha nitamwambia
0 Comments