
ENDELEA....... "Ni muda wa kazi sasa. Uliniambia jana una mazungumzo binafsi na mimi. Nafikiri tutazungumza badae" Sikuwa na namna zaidi ya kutoka ofisini kwa Sony. Nilienda eneo langu la kazi kila nilipojitahidi kufanya kazi zangu akili yangu haikuwa sawa kabisa. "Una nini leo Nice?" Sophia rafiki yangu na pia ni mfanya kazi mwenzangu aliniuliza. "Nipo sawa" "Nakufahamu lakini ila kama umeamua kunificha naamini ni jambo lako binafsi ila kuwa makini usiharibu kazi." "Kiukweli simuelewi binamu". "Manka?" "Yeah" "Yule ndugu yako hayupo sawa. Mala nyingi napokuja kwako kuna matendo naona anayafanya si sawa kabisa sema sijui ni namna gani mnaishi wenyewe
0 Comments