
ENDELEA....... "Manka wewe wa kunijibu mie hivyo?" "Kibaya kipi hapo si nimekuuliza tu" "Ukiwa na maana?" "Maana yangu ni kwamba kuzaa huzai. Bwana unae miaka miwili sasa ila hujawai shika mimba hata ya bahati mbaya kwa kisingizio cha kusema kwamba mpaka unioe. Wewe huyo ukiolewa sijui" Nilishangazwa na kauli ngumu za Manka na alivuka mikapa mpaka kunitukana eti mie mgumba. Uvumilivu ilinishinda nilujikuta nampiga Manka. Nilimtembzea vibao vya maana. "Unanipiga mimi, sasa ngoja nikuonyeshe" Manka aliyasema hayo na baada ya hapo alichukua simu yake. Sikuwa na haja ya kuendelea kubaki chumbani kwake. Nililudi chumbani kwangu. Moyo wangu ulikuwa na maumivu
0 Comments