*BINTI MPELELEZI* SEHEMU YA... 19 Na

*BINTI MPELELEZI*  SEHEMU YA... 19 Na

*BINTI MPELELEZI* SEHEMU YA... 19 Na Mamuh Mohd (0716730000) Tulipoishia...... Wote walishangaa hata malkia na kijakazi wake walibaki pozi limewaisha jumba bovu limewaangukia...... SONGA NAYO...... "Hapana wewe umekuwaje? Mbona unaongea vitu ambavyo havipo kabisa kwani mwanzo tuliongea nini?" Aliuliza malkia huku macho yamemtoka, " Hapana malkia siwezi kusema uongo tafadhali". Sultan alimtazama mkewe na kumuuliza, " Bado una nafasi ya kunionesha hicho ulichotaka kunionesha mkewangu" Malkia alibaki kimya asijue ajibu nini. Sasa wakati huo Yenah na Kosho walianza kuondoka zao wapofika barabarani kosho akamshika mkono Yenah na kumwambia, "Walinipiga na picha nikiwa mtupu kabisa na alipewa yule dereva sawa tumemaliza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments