
*CHAGUO SAHIHI* namba moja Na Mamuh Mohd (0716730000) Tuanzeeee.... Ni Majira ya asubuhi kiasi saa 2 alikuwepo mrembo wa kuitwa Yasinta, Huyu alikuwa ni mke wa mfanyabiashara mkubwa wa kuitwa Mr Jaden. Basi Yasinta alionekana kupendeza kwelikweli Ndipo alifika eneo la jikoni alipo mdada wake wa kazi wa kuitwa Manga. "Naonekaje Nimependeza eti?" "Ndio umependeza sana sana sana". "Basi ndo ivyo natoka naenda budai I think unapaelewa Dubai kwetu" "Mhhh mbona gafla ivi? Boss" "Mhhhhh vimenicharuka leo tu nataka nikaenjoy na hamisi wangu. Unajua leo ni siku yangu ya kuzaliwa so nikimwambia kuwa natoka atakataa namimi nahitaji kuenjoy na hamisi
0 Comments