BINTI WA MTUNZA BUSTANI😍 Sehemu ya 4

BINTI WA MTUNZA BUSTANI😍 Sehemu ya 4

Ibra akiangalia Ile picha Kisha akamuangalia Tena Munira na kumuuliza " Bado unataka kuangalia? Munira alitingisha kichwa kwa kukataa Ibra aliirudisha Ile picha ilipokaa Kisha akachukua laptop yake na kuondoka alipofika mlangoni Munira alitoka kwa mwendo wa kasi na kumgonga Ibra "Hey wewe vip unashida gani? Munira hakugeuka alienda moja kwa moja chumbani kwa bibi " Haaa huyu binti yupo sawa kweli Yani amenigonga na Wala hajali. Munira alifika chumbani kwa Bibi hukubwakiwa na wasiwasi alijua Ibra anamfuata " Bibi Mr tattoo nimkali? " Nimesha kwambia acha kumuita hivyo muite Ibra " Sawa " Kwani mmemkorofisha " Akaaaa nimeuliza tu.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments