MAJI YA BAHARI YALINIFANYA NIUE KIJIJI KIZIMA SEHEMU YA TATU

MAJI YA BAHARI YALINIFANYA NIUE KIJIJI KIZIMA    SEHEMU YA TATU

Sauti za vilio vilitanda kijijini kama wingu la mauti. Hakukuwa na mtu aliyelala usiku huo; kila mmoja aliketi nje ya nyumba yake akijadiliana kwa hofu na mashaka. Wale walioshuhudia miili ya familia ya kina Zuberi walisema waliona kitu kikubwa kikiruka juu ya paa usiku ule, macho yake yakimetameta kama makaa ya moto. Wazee wa kijiji walikutana alfajiri chini ya mti wa mikorosho ulio katikati ya kijiji. Uso wa kila mmoja ulikuwa umejaa hofu na maswali. “Hili si jambo la kawaida,” alisema Mzee Rashid, sauti yake ikitetemeka. “Kuna mtu amevunja masharti ya dunia ya pili. Hii ni laana, na kama hatutafanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments