
" Simama hapo wewe boya " maverick alienda kumzuia Tristan asipande kwenye gari lake " Unataka nini ? Pisha nipite " " Hasira zako haziwezi kusaidia kitu Tristan ukweli utabaki pale pale ulimuacha Gabriella kipindi alipokuwa anakuhitaji sana na ulikuwa na mwanamke mwingine unajua ni Kiasi gani ulimuumiza ?,Sasa nakwambia hivi Kaa mbali na Gabriella sitaki kumuona anahuzuni tena kwasababu yako " alisema maverick " Nini ? Unakisikia unachokiongea maverick,wewe ndo unatakiwa kukaa mbali na Gabriella kwasababu ni mke wa ndugu yako " " Umesahau kwamba ulipoteza hiyo haki ya kuwa mume kwake? ,sitaki kuongea sana Tristan nakuonya tena hii
0 Comments