
______________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Nilikuwa zangu kwenye toyo nawahi kazini, ile nimeshuka tu hivi nikampamia kaka mmoja ilibidi nimuombe samahani huku natembea nikashangaa kanivuta, "wewe dada kuwa na heshima, umenidondoshea simu yangu, then unaomba samahani huku unatembea hata hujatazama kama umeniharibia simu yangu wala kutumia uombe kwa adabu hio samahani, niligeuka kwanza nikamtizama uku nimekasirika mno, wewe kaka mbona hufanani na huu ujinga unaofanya mkaka smart unalilia samahani huoni aibu, ebu niache samahani namwahi boss wangu aslejua nini maana ya muda, nataka nikamfundishe boss wangu kujali muda weee nae unaanza kunichelewesha ili nifanane na boss, ivi viumbe wengine mkoje jamani,
0 Comments