BOSS AISEE MIMI SIWEZI KUVUMILIA* _____________________* *SEHEMU YA 02 Alitoa simu tofauti na ile iliyodondoka, kidogo niropoke nikakumbuka nineshajikana

BOSS AISEE MIMI SIWEZI KUVUMILIA* _____________________*  *SEHEMU YA  02  Alitoa simu tofauti na ile iliyodondoka, kidogo niropoke nikakumbuka nineshajikana

, nikafunga mdomo, alipiga simu, ikaanza kuita, bahati ilikuwa kwangu, sikutoa no yangu nilitoa no ya dada angu mkubwa lengo anilipie huo msala, nilishazoea kesi zangu huwa nalipiwa na dada mkubwa ananielewa sasa hii ya leo ninauhakika hawezi kulipa atachanganyikiwa dada angu maskini, Boss alishangaa kuona haiiti kwangu alipokea dada angu na sauti zetu zinafafa, tofauti dada angu sauti yake ni ya ukarimu hata ukimkosea anakujibu tu vizuri ila mimi sasa, unavyokuja ndo ninavyokupokea... Dada angu alipokea haloo, Boss akanitizama kwanza kisha akajibu, "bila shaka naongea na Juliet binti wa thamani ya muda, dada alivyosikia tu ivo akajua nishaharibu hakutaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments