
Sehemu ya pili. π Mtihani huu niache kazi au niende ndani akanione...π Nikameza mate ya akili tamaa mbele mauti nyuma hapa nitalika kizembe nikamwambia madam. " Bora nikose kazi lakini sipo tayali kufanya ivyo. " Juma unaogopa nini kwani wewe ujawai kula kitu roho inapenda. ( Anavyoongea anageuka ananionyesha alivyojaaliwa na mimi ngozi hii sijawai kuibatua naitamani ila ndio uoga umenijaa nikamwambia) " Wewe mke wa mtu sisi waswahiri tunayo kauli zetu mke wa mtu sumu. ( Mala anapokea simu Wanaongea rugha zao mimi nikatulia tuli kimya akamaliza akaniambia) " Mdogo wangu anakuja sasa twende ukanipige moja la fasta tu
0 Comments