NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷 part7

NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ♥️🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷🩷 part7

SEHEMU YA 07 MTUNZI:: 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ Asubuh na Mapema Trisha alikuja Kutembelewa Na Rafik yake Ray na KUMPA pole Kwa Yaliyotokea Usiku ule Walipo achana "nikikwambia lakini Kutembea Usiku mtoto wa Kike Sio vzr " "Yaan We Acha Tu mi nmekoma Mimi huyu tena Hapana Nmekama " "Vipi na Huyo muddy wako" "Muddy mi Hata Simuelew aisee Akitaka Kuoa Atakuja ILa Namshkuru alinisaidia Ile Usiku" "Hata Mimi nngepigiwa Simu nngekusaidia Tu " Ni Wakati Huo Trisha Alikua akimsindikiza Ray Kwenda Kwao "We Trisha Wewe " Ray alimshtua Mwenzie Kana Kwamba Kaona Kitu cha Hatar sana "Niniii bwanaaa Unanishtua "

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments