😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😚😚😚😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 *BOSS NAONA AIBU* *1-5* *_____________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* "Dada naona unaumia shingo unaweza lala kwenye bega langu ili upate kupunguza maumivu ya shingo

yako kaka alieksa pembeni yangu ndani ya gari, aliniambia kwa utaratibu na sauti yenye kujiamini, nilitabasamu kidogo na kumshukuru nikweli nilikua naumia shingo, taratibu nilijilaza kwenye bega lake, bega lilikua na nyama nyingi hivyo sikulalia mifupa, nyimbo ya taratibu iliyokua inapiga ndani ya gari Ilinifanya nipate usingizi mwanana. Huo ulikua msaada wa pili kutoka kwa kaka huyo kwani, msaada wa kwanza ulikua wa kuniachia siti ya dirishani, safari ya kuelekea dodoma ilikua katika uzuri kwani dereva hakuendesha kwa mwendokasi sana au taratibu sana yaani ilikua wastani, nilikua ndani ya basi la shabiby line full kiyoyozi. Tulipofika Morogoro mjini, gari iliingia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments