
nilishangaa mbona mwanzo nilisikia sauti iliyonyooka kabisa?. Ah lakini huenda ni wenge la usingizi mmhhh lakini hapana ni wenge la usingizi kweli??. Sikutaka kumwongelesha chochote kikubwa nishampata akiwa salama nilirudi chumbani kwangu kuwapokelea wazazi wake simu waliniuliza kama nimeshamwandaa Kingston nikawaambia tyr vipi kuhusu chakula cha mchana??. Nikadanganya tu nilishamwandalia ila bado hajala...sikutaka kumwamsha nikamharibia usingizi.. Wazazi walifurahi wakaniambia ni sawa dereva yuko njiani anakuja kumchukua inabidi umwamshe ale dereva amkute akiwa tayari..nikasema sawaa Nilikimbia jikoni haraka nikaanza kuandaa chakula..namshukuru Mungu niliivisha kabla dereva hajafika.. Nilirudi chumbani kwa Kingston cha ajabu nikakuta tayari ameshabadili nguo mwenyewe na kwa muda huo
0 Comments