
Hasa nilipo ona vijana lika yangu wako ndani ya mahusiano, tena kunakitu kigeni kwangu wana peana kinaitwa mapenzi. Sikupata jawabu, rakini nilijiwazia mimi kama kijana wakiume tena Rejar nafeli wapi, nikagundua tatizo woga ndio unao niweka pabaya. Ule mtaa ninao ishi mimi ulikua sihaba, nimtaa ulio jaa wanawa wakila aina hakika walinipa tabu. nilibaki kuwatazama kwamacho, mdomo ulikua mzito kusema chote mbele yao. Nakumbuka siku moja nikiwa nimetoka kwenye misele yangu, kama ilivyo ada saa kuminambili jioni, jua linapo tua nakukipa kiza nafasi. wakati napita kwenye chocho zile ambazo zili, ambazo ziliniepusha nawadada, ambao kila nilipo kutana nao walinisema kupita
0 Comments