🌍 BREAKING NEWS | FACEBOOK YAFUTA IN-STREAM ADS

🌍 BREAKING NEWS | FACEBOOK YAFUTA IN-STREAM ADS

Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya (Facebook,Instagram, WhatsApp) imetangaza rasmi kuondoa mpango wa In-Stream Ads kuanzia leo Septemba 1, 2025 ❌ Hakutakuwa tena na maombi mapya ya In-Stream Ads kama sehemu ya pekee ya kupata mapato. 👉 Badala yake, Meta imezindua mpango mpya unaoitwa Content Monetization Program, ambapo wameunganisha njia zote za kupata kipato hivyo wote waliokuwa kwenye In-streams Ads watapaswa kukubali kuhamia katika Program mpya ya Content Monetization 🎬 Video ndefu (zamani in-stream ads) 🎥 Ads on Reels 📲 Performance Bonus ✅ Lengo kuu ni kurahisisha mfumo wa mapato kwa waundaji wa maudhui na kutoa nafasi ya kupata kipato

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments