
Kwanza nipepewe na feni lakini pia nipepewe na kipepeo maana sio kwa mchoko huu niliokuwa nao, hivi my zangu mambo ya ukewenza nyie mnawezaje Mbona Mimi nimeshindwa kabisa, Yaani kitendo cha kujua Kuwa nashea na mtu tu naumia halafu anakuja analetwa Nyumbani Kama mke mwenzio uwiiiih kama ni utaratibu wa dini mimi nimeshindwa kabisa 😭💔. Niite SHAMSA, mama wa watoto wawili lakini pia ni mke halali kabisa wa Bwana Hamadi, nikikusimulia jinsi ambayo nilipatana na huyu Hamadi wangu Nina Uhakika utaniambia Mwenye kilanga apewi pole. Nakumbuka nikiwa kidato cha pili, katika umri huo ni hatari sana kwa mabinti lakini pia
0 Comments