CEO NISAMEHE SIRUDII TENA ❤ SEHEMU YA KUMI NA TATU*

CEO NISAMEHE SIRUDII TENA ❤ SEHEMU YA KUMI NA TATU*

Wakakuta kimya kuuliza wanaambiwa mganga kafariki ni wiki sasa, walichoka, wakauliza kama kuna mganga mwingine wakaelekezwa kijiji cha tatu kutokea hapo, ilibidi warudi kwanza mjini wakajipange, walirudi kila mtu anamawazo, walianza kupata mashaka, na hali zao pia hazikuwa nzuri, walikuwa wanatoa harufu mno, wakaamua kumpigia doctor wao, akaja na kuwaambia, wanatakiwa kusafishwa hali sio nzuri na huwa ni kwaida yao kupigwa bomba lakini wanarudia, awamu hii hali ilikuwa mbaya zaidi, na gharama ilikuwa kubwa mno, walipiga hesabu kuipata inahitaji akili.... Ilibidi wapambane kwanza kwa mganga ili wampate ya Naseer awape pesa matibabu, upande wetu huku pia Hali ya Naseer ilikuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments