
Mama Farida akibaki katia nacho kumuangalia Shahid hakuwa anaelewa kanisa kile alichokisikia kutoka kwake. 'Kijana sijui kama sijasikia vizuri au sijaelewa? Mama ujauzito wa Shania mimi ndio muhusika. Abeee....?. Mama Farida aliishia kuitika kamal vile aliitwa. "Mama nipo hapa kuweka mambo sawa na nipo tayari kumuowa Shania na kumuhudumia kwa kila kitu mpaka atakapo kaa sawa. Mama Farida aliendelea kumuangalia Shahid bila kummaliza 'Wewe mtoto wa kiume mbona inanishangaza au ni imani za kishirikina ndio zimekusukuma kufanya hivyo? Hapana, hapana mama mimi ni mtu safi kabisa sina imani hizo hili lilitokea kwa bahati mbaya na nafsi yangu inanisuta mno kwa
0 Comments