PILOT NIACHE NIMEKOMA❤ 15*

PILOT NIACHE NIMEKOMA❤ 15*

Sikujibu chochote ni machozi tu yakawa yananitoka, alinifuta machozi mpaka akachoka akaamua kunilaza tu, apo simu yake ikaanza kuita alikuwa ni bi mdogo Asha, Amir aliogopa ata kupokea hio simu,akihofia ninaweza kupanic zaidi, aliamua kumjulisha mke wake kwa sms, avumilie hatoenda siku tatu hizi zipite ndo watakutana, Asha alipanic akaanza kulalamika, Amir aliona kabisa atapasuka kichwa akaamua kuzima kwanza simu, amalizane na mimi... Mimi sikujua chochote nilikuwa namengi kichwani, siku 10 zilipita nikawa nimepona, niliamua kuigiza niko sawa ili nipelekwe kwetu, lakini Amir alikataa akadai nitakaa kwa Bibi yake, nikiwa sawa nitaenda kwangu, nilijikuta nazidi kuchukia tu, uzuri pia muda

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments