CEO NISAMEHE SIRUDII TENA SEHEMU YA KUMI NA NNE*

CEO NISAMEHE SIRUDII TENA SEHEMU YA KUMI NA NNE*

Upande wa Naseer alienda kuongea na mama ake kuhusu wazo lake la kuniandikisha mimi mali zake, mama ake aliwaka akaanza kugomba amekuroga na yeye eeh? Yani mtu hana hata mtoto unataka kumpa mali zako unaakili kweli wewe? Ugomvi uliibuka ikabidi Naseer aondoke tu kimya kimya, mimi huku sikuwa najua chochote, jioni mama mkwe anakuja kafula, namsalimia haitikii, akaanza kunitukana, nataka kumuua mwanae, ili nirithi mali za mwanae mtu mwenyewe sijui mgumbaa, aliniporomoshea mbona nilijuta.... yaani Nilijaribu kumuelewesha lakini hakunielewa. kabisa, akaanza kusema alijua tu make nimekaa kijanja janja, nilibaki tu nalia, nikiwa nalia alitoka mwanangu Elham, alimsalimia bibi yake, akamuuliza,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments