KIUTANI TU NIMEINGIZWA UKUBWANI Chapter 5

KIUTANI TU NIMEINGIZWA UKUBWANI Chapter 5

Jimmy akimsindikiza kwa macho mpaka alipopotea kisha akasema yani kuku yuko bandani kwangu alafu nashindwa vipi kumchinja? Siku nikitaka nitafanya nitafanya tu hata hivyo hakuna mwanamke mgumu kwangu ipo siku mwenyewe atanivulia nguo. Alisema Jimmy kisha akarudi chumbani kwake aliwakuta wale wanawake bado wamelala chini ya zuria, aliwaangalia huku akiwa kashika kiuno chake Badae alianza kuwaamsha huku akiwapigia piga mabegani Mnalalaje kama mpo kwenu 7 Amkeni muondoke kazi yenu imeshaisha Wale wanawake walinyanyuka huku wakiwa na uchovu wa pombe walijinyoisha kivivu kisha wakaondoka. Jimmy akienda bafuni kuoga alipotoka akijiandaa na kuelekea kazini. Prisca alikuwa amekaa kwenye mgahawa wa chuo na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments