CEO SIKIMBII TENA NITAVUMILIA*1---2 *____________________________________* SEHEMU YA 1 Kama uliwahi sikia mtu kaokota dodo chini ya mpera basi ni mimi. Naitwa Nasma Majid ni mtoto wa pekee kwa mama yangu na baba yangu licha ya kwamba tuna maisha ya kuung

mpaka nikamaliza chuo kikuu pale University of Dar es salaam [UDSM], lakini licha ya kwamba nilisoma na nilikua na GPA yangu safy lakini sikuwahi kupata kazi nishasota kwenye makampuni yote lakini sikupata kazi hivyo nikawaga nimekataa tamaa….. Sasa leo kwenye pita pita zangu nilikua natembea tu kusipo na direction mitaa ya kwetu Buguruni, kuna mtaa nilipita kulikua kimya sana lakin kwa mbal naskia minong’ono kwenye jumba moja bovuu kweli yani , nikajikuta nataka kujua kuna nini maana mimi nae ni mmbea sio poa ila ukinitizama hat uzanii nazid kusogea nasikia ‘huyu si anajifanya mbishi sana sasa tumpige risasi kwa sababu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments