
Mamuh mohd (0716730000) Tulipoishia..... Alikuwa akiongea hukud analia manga hadi jarden akaamua kuinuka na kumsogeza kitandani.... SONGA NAYO... Jaden alifanya tendo la ndoa kwa Manga pasina kujali hali yake kihisia. Yani hakujali kama anamfurahisha aliangalia hamu yake tu. Alipomaliza akamtaka manga aondoke chumbani. "Mmewangu kwaiyo ni sumu kabisa mimi kulala chumbani kwako mpaka asubuhi" "Manga hisia zangu kwako zilishakatika zamani sana, yani nimeshakuchukulia wewe kama mtumishi. Ni mapito yale ndio yalipelekea nikakuoa wewe lakini nadhani unajua kwa hadhi ambayo nilikuwa nayo usingeweza kuwa mke wangu, ni vile tu niliyumba ndio maana nikakuoa wewe. Lakini ukweli ni kwamba wewe ni kijakazi
0 Comments