
Na Mamuh Mohd (0716730000) Tulipoishia........ Manga alifunika kombe mwanaharamu apite basi akatoka nnje kuendelea na shuhuli.... SONGA NAYO....... Nafsa alimaliza kujiandaa akatoka nnje tayari kwa part kuendelea. Alikata kila pale na watu wakala na kunywa vizuri sana. Zawadi alipewa za kutosha na kufikia jioni party ikawa imeisha. Nafsa aliwashukuru marafiki zake waliokuja pale haswa michael" "Michael sikujua kumbe utakuwa huku umeshatoka shule?" "Yah nipo tokea wiki iliyopita" "Asante sana kwa kuja na pia asante kwa zawadi yako" "Usijali kuna ujumbe nimekuwekea katika zawadi niliyokupa plzzz uzingatie". "Sawa asante". Nafsa kusikia vile si akadhania labda michal kamuambia anampenda. Binti haraka akakimbia
0 Comments