
WhatsApp 0748697173 Kwa jina naitwa Olivia ni mtoto wa pili kati ya watoto watano kwenye familia yetu, huu ni mkasa wa kweli kwa yaliyonikuta ulionifanya nikae mbele ya Zooper kuusimulia mkasa huu. Mkasa wangu unaanzia hapa 👇🏻👇🏻👇🏻. Ikiwa imebaki wiki moja ili niweze kufunga ndoa na mwanaume aliyekuwa akiitwa Isaac nilipigiwa simu na namba ngeni na nilipoipokea nilitaarifiwa tarifa njema za kupata kazi!, niliruka kwa furaha baada ya kupewa taarifa hizo mpaka dada yangu aliyekuwa akiitwa Norah akabaki kunishangaa. "Kuna nini Olivia mbona makelele tena!?" "Nimepata kazi dada!" "Umepata kazi!?" "Ndio" "Wapi ulipopata!?" Nilimfafanulia vizuri Norah sehemu niliyopata kazi na
0 Comments