Chipo Muchegwa ni msanii wa muziki kutoka nchini South Africa.

Chipo Muchegwa ni msanii wa muziki kutoka nchini  South Africa.

Picha mpya Safi kabisa kutoka Kwa mwanadada mrembo Chipo Muchegwa ni msanii wa muziki kutoka nchini South Africa. Mwanadada huyu hana mikono hufanya shughuri zake zote za uhusika wa mikono kwa kutumia mguu wake wa kulia Usipite bila kucomment chochote kwa Dada yetu huyu.

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments