
๐๐๐ฅ๐Kufanya hii kazi ya mlinzi(Watchman) sio mchezo akh.Sasa kwa site yenye kampuni ilinituma niende kuwa mlinzi ni Estate na nachunga kwa lango kuu la geti la Mzee Kennedy.Huyu Boss wangu ako na msichana wake kwa jina la Jennifer.Jennifer enyewe ni msichana mrembo kupindukia lakini bado ni mwanafunzi wa chuo kikuu Cha Kenyatta. Sasa Jana Boss aliondoka na bibiye kwenda kazini.Mimi kawaida nikawa nimetulia kwa lango kuu nikiwa nimechunga kazi yangu juu ndio unayonipa unga kwangu.Nikiwa napiga patrol hapo kwa hiyo boma kighafla nilisikia mayowe kutoka ndani mwa nyumba ya Boss wangu๐.'Hiyo sauti si ni ya Jennifer?' nikajiuliza. Walinzi huwa tunapewa
0 Comments