CHIZI UNGEKUWA NA SIMU NINGEKUPIGIA SI KWA UTAMU ULE UMEMZIDI TIMAMU Sehemu ya 21...22

CHIZI UNGEKUWA NA SIMU NINGEKUPIGIA SI KWA UTAMU ULE UMEMZIDI TIMAMU   Sehemu ya 21...22

Chizi akachomoa fasta akachukua nguo akanivalisha fasta mama mkwe anasema jamani vipi. Baba mkwe akajifanya kazimia mkono upo kwenye nanii yake yani naisi aliisi aibu kubwa. Ndani ya moyo wake vile vile aliofia kipigo cha nguvu kutoka kwa chizi ndio maana kazuga kuzimia bahati nzuri chizi na yeye akavaa akamwambia mama yake toka nje acha nioge uyu atazinduka na maji nitakayokuwa najimwagia mimi na dear dear dear wangu. Mama mkwe akajiuliza nini kimemkuta mumewe na alimuacha sebuleni Sisi ndio tulikuwa chooni sasa anajiuliza uku anaondoka. Chizi akanivesha kanga mimi nikaoga na kanga chizi anafanya kusudi anaoga uku anakojoa baba yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments