
IMEANDIKWA NA : HAFIDHI J IKRAM mchizi yani ile jana Arsenal ulimi uliwatoka nnje nnje, huyo Sanchez anapiga vyenga vyake akikutana na John Terry, Anaachia mpira mwenyewe, kuna jamaa mmoja akasema, “jamani tuacheni ushabiki kusema kweli Jana Arsenal alicheza mpira safi sana Kwanza isingekuwa kadi nyekundu aliyopewa Ozil Chelsea wangechezea kichapo tu, Seiph nae akaunga tela “Embu waambie hawa watoto wa Mama tu kwanza kaka Kidume wewe na mpira wapi na wapi",,,,,wakati fani yako kutembea na wake za watu tu!" Kila mmoja akashituka baada Seiph kumwambia maneno yale Kaka yake Kidume akakunja ndita na kuinuka kwa jaziba akaenda kumkunja, Seiph
0 Comments