
IMEANDIKWA NA : HAFIDHI J IKRAM Tulipoishia Yule binti akaingia kati wenzake baada kuweka duwara na kumpigia makofi “Kataa,,,,kataaa kata mwanangu kata kiuno chako mwenyewe,,,,wala hukuazimaa kata kata,,,,Fatuma binti kutoka Handeni kule mkoani Tanga kweli kiuno hakuazima Maana alikuwa anayakata mauno Hata Chura wa Snura akasome. Hawakuwa mbali na Maskani kijiweni Vidume vikabaki kukunja nne maana Andunje alikuwa anatutumuka kila Mmoja wao" SONGA NAYO SASA Vidume vikazidi kubadirisha mikao mara wakunje nne mara hivi, basi ilikuwa shida tupu. Mabinti nao kama walijuwa vile kuwa wanawarusha roho Washikaji baada Fatuma ukipenda muite munira kufanya manjonjo yake ikawa zamu ya Rose toto
0 Comments