Chombezo : Chupi Mkononi Sehemu Ya 9

Chombezo : Chupi Mkononi  Sehemu Ya 9

IMEANDIKWA NA : HAFIDHI J IKRAM Tulipoishia “usiogope binti nyoosha mkono.....ahaaahaaaa,,,nyoshaaaa,,,,,,," Witness akaunyosha Mganga akaushika na kuupiga piga na usinga wake, “sikia nikwambie kitu binti kiganja cha mkono wako kuna kitu kama tobo yani huwezi kushika pesa kamwe zikadumu".... yani ukishika zinapotea pasipo wewe mwenyewe kufahamu" “ndio babu nina tatizo hilo hata nishike kiasi gani kinapotea tu!" “usijali hapa ndio umefika kwa Othman chull mwisho wa leri Kila kitu kitakuwa sawa,,," ingia mule chumbani kisha uvue nguo zako zote tuanze tiba!" Witness akashituka yani avuwe nguo zote tiba gani hiyo, mbona makubwa, Kwanza akamtizama Anna nae akamuonyeshea ishara ya kufanya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments