
IMEANDIKWA NA : HAFIDHI J IKRAM Tulipoishia Irene kwanza akapitia bafuni akajisafisha kipochi manyoya chake na kutoka kwenda chumbani kwake “wee Mwanamke ulikuwa wapi muda wote?" Rashidi alimuuliza mkewe baada kumuona anaingia tu, “nilikuwa chooni baby!" “Chooni gani muda wote huo kibaya zaidi umenifungia mlango ndio tabia gani hiyo ya kufungiana Milango. “Sio hivyo mume wangu wakati naenda chooni wewe ulikuwa umelala nikahisi mwizi ataweza kuingia pasipo wewe kushituka nikaona bora nifunge mlango kabisa. Na wakati naingia chooni ndipo nikasikia kelele za Mwizi nikaenda kuangalia!" “Irene tambua kitu kimoja kitendo cha kumfungia mtu chumbani sio kitu kizuri yani umeenda kutizama
0 Comments