Chombezo : Demu Mwenye Uboo Ka Baba Ngida Sehemu Ya 3 IMEANDIKWA NA : JUMA MWAMASAGE Akarudi na kufungua mlango wa Ema kwa nguvu,bahati mbaya

Chombezo : Demu Mwenye Uboo Ka Baba Ngida   Sehemu Ya 3  IMEANDIKWA NA : JUMA MWAMASAGE   Akarudi na kufungua mlango wa Ema kwa nguvu,bahati mbaya

walisahau kufunga kwa ndani "Duhhh"Aliguna mume wa Jack kwa sauti na kuzimia papo papo.Ile sauti iliwashtua wazazi wa Ema wakatoka haraka.Wakawakuta Ema na Jack wanavaa upesipesi huku mume wa Jack akiwa amezimia."Eehe tumpepee"Mama Ema alisema huku akiwa anatetemeka."Hapana,akiamka saa hivi Ema atauliwa namjua vizuri huyu mdogo wangu"Alafu akawageukia Ema na Jack wakiwa wanatetemeka tu hawaelewi la kufanya."Aibu gani hii Ema,alafu we mwanamke si umeolewa juzi tu"Mama Ema alilia huku akiwa amechanganyikiwa hajui la kufanya."Hapana usilaumu sana cha msingi hawa tufanye mpango waondoke usiku huu vinginevyo huyu bwana akiamka ataua mtu usiku huu"Baba Ema akaingia kwenye pochi yake na kutoa elfu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments