
Niliambiwa kuwa ana shida ya moyo (moyo wake umedhoofika) na blood pressure yake iko chini sana ndiyo maana alikuwa anaishiwa nguvu na kuzimia mda mwingine. Sikutaka kubeba mzigo huu peke yangu, nikampigia simu kaka yake mkubwa ili aje amchukue. Imagine ni mtu aliyetuacha mimi na watoto na akawa anaishi na mwanamke mwingine pika pakua. Nilipompigia simu kaka yake aliniambia kuwa walishakaa kikao na baba yake alisema kuwa ni jukumu langu kumuhudumia mume wangu kwa sababu yeye ni baba wa mtoto wangu. Lakini huyu mwanaume hajawahi kuwajibika kwetu na mimi ndiyo ninahangaikia kila kitu hapa nyumbani kuanzia kodi, elimu ya watoto
0 Comments