
aliondoka mapema siku hiyo.Alifika sokoni na kuanza kutafuta tenda.Kama bahati vile alibahatika kupata tenda ya mama mmoja mtu mzima aliyekuwa akichukua mzigo mkubwa wa kujaza kirikuu kabisa.Yule mama akahitaji mtu wa kumbebea mizigo yake kwa maana ya kupakia na kupakua. Kwahyo masalu akakubaliana naye kuwa wataondoka pamoja atamsaidia kwenda kupakua.Walipanda kirikuu yule mama wa umri wa makamo aliyeonekana kuwa na pesa akakaa siti ya mbele na dereva wake, masalu akakaa siti ya nyuma na mizigo.Gari ilikata upepo mpaka kinondoni alipokuwa akifanyia biashara yule mama alikuwa na duka kubwa la nguo. “Yani leo nna kazi maana wafanyakazi wangu wote wameondoka wameenda
0 Comments