
Mke wangu unasemaje? " Mume wangu wakati huu wa likizo tumpeleke asma kijijini akachezwe. " Mke wangu ayo ni mambo ya kizamani naona kwanini wakati huu wa likizo asma asisome masomo ya ziada wazungu wanaita T. " Samahani mume wangu kwa kukukata kauli kwaiyo uyu asma asichezwe kutwa awe anasoma tu. " Ndio kwani Kuna umuhimu gani kuchezwa nasema muache asma hapa afate elimu. " Kutachimbika mume wangu mwanangu anaenda kuchezwa kijijini na akiludi ataendelea na shule. ( Jamani ayo ni maongezi kati ya baba asma na mama asma naitwa Mbwana mzee wa kupenda chini yani uyo asma namtamani kila
0 Comments