
“Mmh!, we nakujua huchelewagi kunipa malalamiko ya bwana zako walivyo na michezo mibovu, lakini naona leo umetulia tulii hutaki kusema kitu.” ? ENDELEA.. Lily aliongea, ? kunidadisi juu ya Mr. Rom lakini sikutaka kumwambia kitu chochote, kuhusu Rom niliamua kutulia tu?. “Tuyaache hayo bwana, vipi kesho una ratiba gani?” ? Niliamua kupotezea mada alizokuwa akiongea muda huo. ? “Kesho ratiba yangu ni kama kawaida, naenda kutafuta Hela Dija wangu.” ? “Sawa, hata me ntaenda dukani kwangu maana nimepasusa kweli.” ? “Kwa Bibi yako Kigalula huendi?” ? “Kesho ana ratiba zake za kwenda huko kwa waarabu wake.” ? “Kumbe!, ? nilisahau
0 Comments