
chochote" Ciara alijisemea kisha akavunga kama hakuna kitu kinacho endelea "Ciara, nilikubali kuuzwa hapa kwa ajili yako naomba uzungumze chochote naamini Mike ana kusikiliza wewe kuliko mtu mwingine" Jessa aliongea huku akilia Ciara alisimama, basi kila mtu alikaa kimya kusikia ni kitu gani atasema. Hata Jessa aliyekuwa anajiliza alikaa kimya kusikia ni kitu gani kitazungumzwa Cha ajabu Ciara alimuonesha tabasamu Mike kisha akasepa "Kwanini anaonesha tabasamu badala ya kuzungumza...." Katy alimuuliza Suzy "Hana mashaka na maamuzi ya Mike hiyo ndio maana yake" Basi Mike alifunga kikao, Mtumwa Jala alikuwa ni miongoni mwa Watumwa walioachiwa huru "Kama huko nje hakuna mtu
0 Comments