
, watu walianza kuondoka pale kijiweni. Mama Amina aliogopa kurudi nyumbani! Mama wa watu plesha moyoni, maumivu ya kichwa, pia alihisi mkojo ukibana. Taratibu alipiga hatua kuelekea katika choo cha kike cha kulipia kilichopo pale kijiweni. Aliingia na kujisaidia. Akiwa anarudi ghafla alidakwa mkono akavutwa pembeni. Kwakuwa ilikuwa ghafla, alikosa nguvu, alijikuta akivutwa hadi ndani ya choo. Alishtuka kukutana na jamaa la miraba sita. Walitazamana, mama Amina alifura kwa hasira! Kwanza huyo jamaa hakumfahamu, alafu hakujua kwanini kavutwa hadi chooni. "Unataka nini?" "Mama Amina, ina maana hujui nini nataka kwako?" "Ndio sijui" "Mimi nakutaka wewe" "Kwahiyo mimi sina hadhi ya
0 Comments