Chombezo : Mama Amina Sehemu Ya : Kwanza (1) Mama Amina ni mwanamke mjasiriamali katika mitaa ya buza jijini Dar

Chombezo : Mama Amina  Sehemu Ya : Kwanza (1)  Mama Amina ni mwanamke mjasiriamali katika mitaa ya buza jijini Dar

. Yeye kila siku usiku uwauzia watu supu na chapati. Ni biashara aliyoianza mara baada ya kuachwa na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni baba Amina. Alijitahidi sana kutafuta pesa kwaajili yake na mwanae, Amina. Pesa ya chakula, Ada, Kodi ya nyumba na mengineyo lakini kadri siku zilivyosonga mbele ndivyo ugumu wa maisha ulizidi. Kutokana na ugumu wa fedha, kila wiki Amina alirudishwa akidaiwa ada. Kwa kipindi hicho alikuwa mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule binafsi. Matatizo ya ada yalizidi, Amina alifukuzwa shule, na moja kwa moja akaachana na shule. Baada ya Amina kufukuzwa shule, akaungana na Mama yake katika

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments