
Chumba kile kilikuwa kinanukia vizuri mpaka sikutamani nitoke kule chumbani😂😂😂.. Baada ya kuoga alikuja kuniita mama Kingston twende kula🥰🥰🥰nilikuta kaishaandaa madikodiko mezani tukaanza kula❤️.. Wakati wa kula Kingston alitandikiwa zulia chini akakalishwa hapo kisha mama yake akaanza kumlisha🥹🥹🥹hawezi hata kula mwenyewe daaah💔 Nilihisi kulia maana huruma ilinijaa sana moyoniðŸ˜inakuwaje likaka lizuri vile linakuwa vileðŸ˜mi lazima nimuulize kilichomkuta nitamuuliza tukibaki wenyewe nyumbani.. Na kama kuna mtu alimkosea nitamwambia akaombe msamaha ili afunguliwe arudi kwenye hali yake ya kawaida.. Basi nilianza kula huku macho yangu muda wote yakimwangalia Kingston.. Jamani nikiwaambiwa ni mzuri jua ni mzuri mnoooo ana hiyo body ana hiyo
0 Comments