Chombezo : Mandogo Lisa Sehemu Ya : Kwanza (1) Ilikuwa ni jioni moja tulivu ambapo kijimvua cha rasharasha kilikuwa

Chombezo : Mandogo Lisa  Sehemu Ya : Kwanza (1)  Ilikuwa ni jioni moja tulivu ambapo kijimvua cha rasharasha kilikuwa

kikiendelea kunyesha taratibu, na kama kawaida ya watu wa Dar es Salaam wanavyoogopa mvua kuliko magari, alionekana mtu mmoja mmoja akipita barabarani katika mitaa ya kinondoni, watu wengi walikuwa wamejificha kwenye vibanda kusubiri kijimvua hicho kikate na wengine walikuwa tayari majumbani kwao wakijipumzisha wakati wengine walikuwa ndani ya magari yao wakielekea huku na kule. Katika moja ya mitaa ya Kinondoni ndani ya jumba moja zuri la kifahari japo lilikuwa halina ufahari wakutisha, mzee Henry Bisu alikaa na familia yake sebuleni huku wakiongea. Maongezi yao hayaku onekana kuwa mazuri, kidogo au tuseme kuwa ni kama kulikuwa na kutokuelewana katika kilichokuwa ninaongelewa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments