YANGA WAMESOMA CUBA.😂 NI KAMPUNI GANI YA KUTENGENEZA JEZI

YANGA WAMESOMA CUBA.😂  NI KAMPUNI GANI YA KUTENGENEZA JEZI

N/A tuwapigie makofi timu ya Young Africans Sports Club Klabu ya @yangasc leo imetoa toleo jipya la jezi zao ikiwa ni mwezi mmoja baada ya kutambulisha jezi za msimu. Lugha waliyotumia Yanga kuleta mzigo mpya sokoni imejaa sanaa sana ya muktadha. NB: Ilikuwa ni ngumu kusema sokoni kugumu.🤣 Nasoma COMMENT zenu mashabiki zangu 🤣 .aliye post ni admin wangu 👉 Djparty On Mix

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments