
. Mwezi wa nne kipindi kile cha Ramadhani kuna kaka alifungua duka frem ya karibu na hapa tunapopika nikawa nampelekea chakula,basi tulibadilishana namba akitaka kuagiza ananipigia anatoa oda ya chakula. Siku zilienda akanitongoza nikamkubalia baada ya kumkubalia ndo nikamjua kiundani alimaliza chuo miaka kadhaa iliyopita akawa hajapata kazi kwaio alipata mtaji akafungua biashara, tumekaa tangu nilivyomkubalia hadi mwezi wa saba bila kukutana kimwili alikuwa akitaka tukutane nasema sawa muda fulani halafu siendi. Sasa kuna siku alifunga kazi akaniambia anaenda Dodoma ameitwa interview kweli alienda kesho yake akarudi kuendelea na kazi kufika mwezi wa saba tarehe 26 akaniita akanionyesha majina yametoka
0 Comments