
uliongezeka mara mbili. Jumatatu ya siku iliyofuata ilikuwa ni Asubuhi masomo yalianza kama kawaida ila kwa mwaka wa mwisho hapo chuoni ilikuwa tofauti Wanachuo wote walikuwa bize wakisoma somo la mwalimu John Charles kwakuwa wote walikuwa walifeli. walipewa siku tano za kujiandaa kwa ajili ya kurudia mtihani huo wa mwalimu John Charles,Siku ya ilipofika wote walifanya mtihani huo na baada ya matokeo kutoka ilionekana wote wamefaulu ila ufaulu wao haukuwa wakulidhisha kwa Mkuu wao wa chuo kwakuwa kati ya wanachuo wote hakuna aliyepata daraja la kwanza. Mwalimu John Charles hakuishia hapo aliendelea kumfuatilia Mrembo Jesca na aliendelea kutoa vitisho dhidi
0 Comments