𝐒𝐢𝐦𝐮𝐥𝐢𝐳𝐢: 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐀𝐉𝐈🔞 𝐀𝐢𝐧𝐚: Chombezo/Maisha/Visasi/Mauaji ______________ Na hii ni sehemu ya pili....

𝐒𝐢𝐦𝐮𝐥𝐢𝐳𝐢: 𝐌𝐀𝐅𝐔𝐓𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐀𝐒𝐀𝐉𝐈🔞 𝐀𝐢𝐧𝐚: Chombezo/Maisha/Visasi/Mauaji  ______________  Na hii ni sehemu ya pili....

ILIPOISHIA..... Madam Sandra akiwa ndani ya kigauni kifupi kilichoacha wazi sehemu kubwa ya mapaja yake alipigwa na butwaa kumuona kijana aliyemchungulia ndani ya gari yuko hapa tena mbele yake, ndani ya nyumba yake. SASA ENDELEA.... "Shi...shikamoo" Onesmo alisalimia kwa sauti ya kubabaika. Madam sandra hakujibu kitu, akampita na kwenda kuweka mkoba wake juu ya sofa. Kisha akageuka. "Wewe ndio mgeni wetu?" Aliuliza kwa sauti ya kutaka kujihakikishia. "Ndiyo, naitwa Onesmo..." Madam sandra alivuta pumzi ndefu. Yule kijana aliyemtazama maungo yake ndani ya gari kumbe ni mgeni wake nyumbani. Hakujua aone aibu au afanye nini kingine. Jambo lililomuumiza akili ni ile

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments