
. UTANGULIZI Sikujua kama mwanzo wa mapenzi ni mwisho wa amani yangu. Kila kitu kilibadilika siku ambayo nilimwona kwa mara ya kwanza mwanamke fulani wa hadhi ya juu. Alikuwa akibadilisha mavazi ndani ya gari bila kujua nimekaa siti ya nyuma nimekodoa macho namtazama. Huyu hakuwa mwanamke wa kawaida bali mwanamke mwenye SIRI za hatari. Alivaa gauni jekundu lililombana mwili na kiuno chake, ni kama gauni hili lilitengenezwa maalum kwa ajili yake peke yake. Alianza kutoa nguo zake moja baada ya nyingine. Nami sikujua kuendelea kumtazama mwanamke huyu nisawa na kufungua mlango wa kuingia kwenye dunia ya MAUAJI, USALITI, MATESO na
0 Comments